Welcome to Daxx Blog..Celeb life style, clothes, modelling, acting, fashionshows.

Daxx Cruzin in Dubai,video

Aug 19, 2011

She goes by the name Edna Ndibs..ohh my God,she's gorgeous, talented, fabulous,she loves fashion,beauty,hair n make up..an also ni mchapakazi na bila kusahau ni very independent women..chek the business thru..www.ndibstyles.blogspot.com

Kama kuna mabinti wanaopiga mzigo na watafutaji na wanaoingiza mkwanja,ni mdada huyu,anadeal na vitu kibao vya kinadada,kama viatu,pia ishu nzima ya make up,na vitu vingine kibao kwa wadada,chek nae kupitia http://www.ndibstyles.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment