Welcome to Daxx Blog..Celeb life style, clothes, modelling, acting, fashionshows.
Daxx Cruzin in Dubai,video
Aug 26, 2011
Julieth Lugembe,Miss Progress International,akitoadonation kwa watu wenye ulemavu wa ngozi,albino.
Kutoa ni moyo,kuwa na moyo wa kutoa msaada sio mpaka uwe tajiri,bali kwa kidogo ulichonacho kinaweza kuwasaidia watu wenye kuhitaji msaada,Huyu kulia ni Miss Progress International akichangia watu wenye ulemavu wa ngozi,albino.
No comments:
Post a Comment