Welcome to Daxx Blog..Celeb life style, clothes, modelling, acting, fashionshows.
Daxx Cruzin in Dubai,video
Aug 17, 2011
Daxx King iz calmin na kitu kipya ,haya wanaopenda u-model kaeni mkao wakula.
Hii ni moja ya kazi kubwa ambayo inakuja hivi karibuni,kwaajiliri ya wanamitindo chipukizi na wale wote wanaopenda fani ya mitindo pamoja na wale wanaopenda kutokea kwenye matangazo mbalimbali.
No comments:
Post a Comment